naomba nisaidiwe juu ya hili. nimemaliza kidato cha nne bila biology nikaenda kuchukua cheti cha uuguzi pia nilizawadiwa kwa kufanya vizuri taaluma hivyo kuliko yule mwenye biology, cha ajabu ninapotaka kujiunga na diploma ya uuguzi naambiwa mpaka niwe na biology. maoni yangu naomba hawa watu walio makazini waruhusiwe kwenda kuchukua diploma bila kujali biology akifeli arudi nyumbani