Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

Mkuu pole sana utatumiaje dawa za asili pasipo na kupata ushauri wa dawa za asili? Jaribu kutumia chai ya tangawizi usitie sukari wala asali chemsha kipande cha Tangawizi baada ya kukikosha vizuri tia maji glasi 1 na nusu katika sufuria kipondeponde kipande cha tangawizi pasipo na kukimenya tia ndani ya maji weka jikoni ipate kuchemka kama dakika 20 au dakika 25 opowa ipate kupoa iwe na uvuguuvugu kisha kunywa fanya hivyo asubuhi mchana na usiku tumia siku 3 au siku 5 hujapona nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona maradhi yako. utakuwa na chango la kizazi ndilo linao kusmubuwa wewe .
 
Hello! Mpenzi wangu anasumbuliwa na maumivu makali sana ya tumbo wakati wa hedhi yanayopelekea kuchomwa sindano za kutuliza maumivu maana vidonge vya maumivu avimsaidii kabisa .. naomba msaada kwa yoyote anaefahaam dawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…