Mjadala wa umeme ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala wa umeme ITV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAYOO, May 12, 2011.

 1. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wakuu najua mnahasira na huu mchezo unaofanywa na hili shirika la mwanga. Mchezo wa mgao wenye wimbo wa dharura kila siku. Lakini nawasihi angalieni huo mdahalo msikie hizo sababu wanazotoa.
   
 2. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Nipo makini namsoma fresh huyu mtaalamu anae jieleza hapo katika tv.
   
 3. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani angalieni wafanyakazi wa Tanesco Itv Live wanavyoongea utumbo Ccm ipo kila kona ya ofisi za serikali ya ccm
   
 4. M

  MC JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hawa wafanyakazi wa Tenesco, wameongea kiwango cha chini sana, wamepoa kama wamemwagiwa maji vile,
   
 5. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamaa kajieleza kama Magufuli lakini hakuna kitu
   
 6. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  January makamba ameingia mitini
   
 7. M

  Mmongolilomo Senior Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamaa ana kapu la mipango isiyotekelezeka. Kiukweli watu wa TANESCO wana wakati mgumu.
   
 8. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huku mtoni kijichi mgao siju ndio umeshaanza maana saa 2 kamili jioni hii wauchukua ememe wao
   
 9. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh! Eti Tanesco wana master plan ya miaka 25, kwa hiyo tatizo la umeme bado tunalo hadi 2025.
   
 10. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Apo akunajipya porojo tu!!!
   
 11. T

  T.K JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yani ni blah, blah tu!
   
 12. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Duh!,hawa vijana wengi wa chuo kikuu watawaua hawa wazee na presha,wamebeba mipango kibao lkn hakuna hata mmoja unaotekelezeka.Viongozi wa Tanesco bogus tu na Serikali yao wanayoitetea kuwa inawasaidia
   
 13. T

  T.K JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kumbe Tanesco itabinafsishwa??....hii itakuwa safi sana.
   
 14. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Kwa maelezo ya Tanesco ni kuwa Tanesco ilikuwa ktk mipango ya kulibinafsisha ktk miaka 8 iliyopita lkn ss wamebadili mawazo halitabinafsishwa.
   
 15. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #15
  May 13, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  The problem of electricity supply jn Tannzania is potentially a serious issue for discussion but was made very light because of itv lightweight presenters. Itv pls take the lady presenter to light entertainment programmes.
   
Loading...