Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Nami nimesikitika sanaaa....acha niende kuangalia game uefa
yaani mengi ameingiza pesa kimtindo kweli kweli.... nimeamini mengi mjanja kuliko hata RA .... yaani tisha toto tu wameshampelekea pesa asirushe kipindi ...yawezekana hata hicho kipindi kilikua hakijaandaliwa
Kuna tetesi za kuaminika kuwa leo umeme unaweza kuzimwa mida ya sa1 jion ili kuzuia watanzania walio wengi hasi wa Dar es salaam wenye uelewa wa mambo.
kwahiyo leo jion umeme unaweza kukatika mji mzima