Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 523
Biden anakenua meno tu kwenye foreign policy biden yuko safi but domestic issues Ryan yuko smart
usa hakuna siasa ni ujinga ujinga tu. huwezi amini hao waongo waongo republican wakapita kwa sababu raia wengi wa usa ni ndondocha, eti mtu andanganya bado yanampigia kura. na safari hii watakoma wakiwapa republican lazima wanunuliwe na china.
Angelikuwa ni JK ndio Ryan ungekuta keshaanguka zamani Huku idara ya usalama ikisingizia ni swaumu
Obama will win with a very narrow margin!!