Mjadala wa Bashite wazidi kutanuka

wacha mahaba ya kipuuzi kwani tukikuwa na watumishi mahili katika kazi za uma na wengine walibakiza miezi muchache wastaafu,ww unayemtetea kwamba hamjali elimu tunachojali ni utendaji kazi ,unataka kutuambia kazi nani hafanyi ila yy tu!yeye atoe vyeti tu ndo suluhisho!
 
Hamtaki na nani? Jisemee wewe eboooo!
 
Halafu wewe:::::::
 
wakati naanza kusoma uzi huu. niliwaza kama wewe... marehem mtikila tutamkumbuka sana...
 
Hawa jamaa washenzi tu, walimharibia future Lowasa kwa kumwita fisadi kumbe uongo tu.

Wapo kama wachawi wa mkuranga raha yao ni kuona mtu anaharibikiwa wala hakuna wanachofaidika. Hebu msitupotezee muda wakufanya mambo ya maana.
 
Tunalo tatizo katika kushughulikia masuala kadhaa katika nchi yetu. Tume ya maadili kwa viongozi inawataka waorodheshe mali, madeni n.k na pia vyanzo vya mali waliyonayo. Sina uhakika kama kuna ufuatiliaji wa ukweli wa majibu yanayotolewa na viongozi wanaopaswa kuorodhesha mali zao. Uhakika nilio nao ni kwamba kama atatokea mtu asiyeridhika na majibu hayo, apeleke malalamishi yake na ushahidi kwenye hiyo Tume. Baraza la Mitihani nalo linataka lipelekewe maelezo na ushahidi ili liweze kuifuatilia taarifa kuhusu mtu kutumia vyeti visivyokuwa vyake yaani vya kugushi. Naona ingekuwa vyema kwa Taasisi hizi kufanya uchunguzi walau kidogo wapatapo tetesi kuhusiana na mambo haya ya udanganyifu ili kuonyesha kwamba wako makini katika kazi zao. Kinachojitokeza sasa watu wa chini ndio husumbuliwa sana mara tu tuhuma zikizagaa kuhusu mapungufu yao. Ni vyema kukawa na haki sawa kwa kila mwananchi katika masuala kama haya. Vinginevyo tutajenga taifa lenye tabaka katika kutoa haki kwa walionacho na wale wasiokuwa na chochote.
 
kundi la maswali yako ya mwanzo likijibiwa, kundi la maswali yako la pili litakuwa limesaidiwa kujibiwa na hatua stahiki zitakazochukuliwa
 
 

Mimi nipo kinyume na wewe mkuu. Sababu naainisha.
1-: Kama kigezo ni utendaji wangesema mapema na wapime utendaji na sio vyeti.
2-: kama ukitenda vyema huhusiki na vyeti feki basi na wengine warudishwe makazini na wapate stahiki zao.
3-: kama vigezo sio hivyo naye awajibishwe. Ninani alikua wakwanza kuwadhalilisha na kuwakashifu watu ??!.
Jibu ni rahisi ni mkulu wa nchi hivyo awawajibishe wote

Hapo haki itakua imetendeka.
 
Kupuuzia hoja hii kama wengine wanavyoelekea kushauri hakumwongezei mtuhumiwa ujasiri wa kupambana na vita aliyoianzisha bali kunawapa nafasi hata wale waliokuwa wampe ushirikiano kutilia shaka kama wanafanya kazi na mtu mwadilifu kama akili yao ilivyokuwa ikiwaaminisha. Ikiwa kinachosemwa kina ukweli, hata kama ana nia ya dhati ya kiasi gani ya kutokomeza tabia mbaya katika jamii, anakosa uhalali wa kuisimamia vita hiyo. Sidhani kama kunyamazia bila kulitolea ufafanuzi jambo hili "rahisi" kunatoa nafuu yoyote katika kutumika kwa nafasi aliyopo.
 
Imeshasemwa humu jina la Daudi Bashite mwisho chalinze mjini ni kondkta tu.
 
Nautabiria mjadala huu kuwa mrefu mpaka 2020
 

Kama una hoja, basi ijikite katika kuwataka wanaotuhumu wathibitishe kama kweli Mkuu wa Mkoa alisomea cheti cha mtu mwingine baada ya yeye kufeli kidato cha nne.
Lakini hoja yako eti mchango wake unaonekana au hauonekani haiwezi KUIFUTA JINAI kama aliitenda. Ukisema hivyo, ni wengi sana ambao hawapaswi kjuadhibiwa maana wapo hadi walioghushi vyeti vya taaluma pasipo hata kuzisomea lakini ukiwakuta kazini wanapiga mzigo hasa baada ya kupata uzoefu wa miaka mingi kama 5-10). Sasa kama na hawa utawaacha, hiyo safisha safisha itawakumba akina nani?

Hao wenye sifa stahiki lakini hawafanyi kazi zao sawasawa acha waondolewe na mfumo wa upimaji wa utendaji kazi (performance appraisal). kama mfumo huo hauwezi kuwabaini na kuwawajibisha, basi hakuna sababu ya kulalamika. Ila sitakubaliana na yeyote anayetaka kuhalalisha jinai eti kwa kuwa mtenda jinai anaonyesha matunda.

Hii itakuwa sawa na kubariki wizi na ujambazi kwa kuwa tu huyu jambazi akishatoka kuwaibia watu "at gun point" anatoa misaada kwa maskini, wajane, na watoto yatima..na kuchangia ujenzi wa zahanati, shule na miradi ya maji.
 
bashite ana roho ngumu kama paka. ndio maana alikuwa na ujasiri wa kumlamba agi, ambaye ameuza sana mbunye. wasukuma washamba sana kwa wanawake aisee.
 
Kama kuroga ni ishu na ww kamloge Magu atengue kauli yake amg'oe Makonda....Makonda ni lulu kwa vijana wa sasa hasa mateja....lazima tumuunge mkono hasa sisi wenye uchungu na nguvu kazi.
So wewe ni teja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…