Mjadala wa Bajeti: Je, UKAWA watazingua tena kama bajeti ya 2016/17?!

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Ikumbukwe bajeti iliyopita UKAWA waliisusia kwa kutoka nje ya bungeni na kwa maana hiyo hawa kuijadili kikanuni japokuwa kwenye mitandao ya kijamii waliijadili sana. Sasa nauliza tu bajeti ya mwaka huu haitoi fursa kwa UKAWA kupata sababu za kususia mjadala?!
 
systematically ni kama wanakatazwa kuchangia mjadala.
wanafungiwa kuhudhuria shughuli za bunge,ukiomba mwongozo unaitiwa walinzi wanakutupa nje
kuwa mbunge wa upinzani tanzania ni kama adui ambaye hutakiwi kuwemo bungeni kuchangia lolote linalohusu maendeleo ya nchi yako...hili ndilo dudu alilotuachia nyerere...Mungu amrehemu
 
Back
Top Bottom