GOYA MNANDA
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 239
- 160
kwa kawaida hekta moja ni kuanzia gunia 8/13 inategemea na matunzo ya shamba kwenye mchele pia inategemea na aina ya mpunga maana kuna ambao kukatika ni nature na mashine pia ila hiyo hesabu yako unazungumzia kuanzia hekta 15
Nahitaj ushaur wenu.. .
Ni shamba la ekari ngap naweza kutoa gunia 100 la mpunga au gunia 90 za mchele??
bado unatuma mchele S.Sudansoko la mpunga/Mchele halilipi kwa sasa kutokana na serikali kuagiza mchele kutoka nje ya nchi hivyo kufanya bei ishuke sana.
mwanzo nilikuwa natuma sudan bt nw sudan hamna amani tena ni vita.
Ni wapi naweza pata shamba la kumwagiliaMkuu utakua unazungumzia kilimo cha kienyeji bila lakini kama mkuu hapo juu akipata hekari nne/hekta mbili zilizopo kwenye irrigation scheme na akaziendeleza kisasa unaweza vuna gunia mpaka 120.
Kwa sababu hekari moja inaweza kukupa gunia 30 kwa wastani na hekta yaweza kukupa gunia 50 mpaka 70 hivyo ukawa umefikia malengo ya mavuno unayohitaji..
mnapenda kukoment hata kama hamjuikwa kawaida hekta moja ni kuanzia gunia 8/13 inategemea na matunzo ya shamba kwenye mchele pia inategemea na aina ya mpunga maana kuna ambao kukatika ni nature na mashine pia ila hiyo hesabu yako unazungumzia kuanzia hekta 15
Ni wapi naweza pata shamba la kumwagilia
Ukilima vizuri eneo la ekari tano na kufuata mbinu zote unapata zaidi ya gunia hizo. Tafuta eneo lenye maji ya uhakika Kama kwenye irrigation schemes.Nahitaj ushaur wenu.. .
Ni shamba la ekari ngap naweza kutoa gunia 100 la mpunga au gunia 90 za mchele??
Huku nilipolima Sijaona watu wakichanganya mazao mengine baada ya kuvuna. Maeneo ni chepechepe , mazao mengine yatashindwa kuota vizuri.Mazao gani unaweza lima, Shamba la mpunga baada ya kuvuna mpunga.?
Maelezo yako yamenivutia. Je unaweza kunimegea kidogo hayo maelekezo ya kitaalam? Mimi nina eneo la (70 X 70) X 10 kando ya mto usiokauka mwaka mzima.Mimi nililima shamba la mpunga Nyatwali Irrigation Scheme(Bunda) nilipata gunia 43 kwa ekari moja baada ya kufuata maelekezo ya kitalaam.
Maelezo yako yamenivutia. Je unaweza kunimegea kidogo hayo maelekezo ya kitaalam? Mimi nina eneo la (70 X 70) X 10 kando ya mto usiokauka mwaka mzima.