My concern ni kuwa uwezo wa kifedha kwa watia nia wengi siyo mzuri. Tumeona hapo juu mdau akilalamika kiasi ambacho kapoteza namna alivyo itafuta hiyo hela.Kuipata Visa ya Norway siyo kirahisi ingawa inapatikana mtu anapaswa kuwa documents za kuwashawishi embassy ikiwemo fedha ya kutosha.
Mkuu nadhani utakuwa umenielewa vibaya binafsi sihitaji mtu yoyote zaidi ilikuwa ni ushauri kwa wadau.Upo sahihi mkuu...mfano tu kupata student visa ya north Korea unatakiwa uwe na usd 15000 ambayo ni milion 40 za bongo.
Ila kila mtu anatarget yake. Wengine wanataka wakasome wakishafika. Wengine ni kazi. Wengine uraia mambo kama hayo. So mimi kuniambia niende namibia au Botswana then baadae ndiyo niende Canada au finland naona nachelewa.
Kwa taarifa zako Botswana na south A . Nipakavu sio kama ilivyokiwa miaka 5 kurudi nyuma. (Hizi ni taarifa za wana ambao wapo huko)
Usife moyo utapata wana wenye mrengo kama wako. Ila mimi naona nitachelewa.
ThanksMkuu nadhani utakuwa umenielewa vibaya binafsi sihitaji mtu yoyote zaidi ilikuwa ni ushauri kwa wadau.
Siyo kila anaye changia ni muhanga ktk jambo fulani wakati mwingine nikutoa experience nanjia ambazo mtu alipita kasaidia mwingine atakae penda pitia.
norway ndio dream country yangu!Niko Finland kwa sasa japo muda mwingi nakuwa Norway
mkuu naomba uni tag huo uziNakuja na uzi nita utag kwa huu ili wengi wauone, kuna watu wanatafuta mtu/watu wa ku volunteer(kujitolea) unaenda , unawasaifia wanachotaka unaishi kwao na wanakuhudumia kuula kitu, nadhan ni njia rahs ya kuanzia. Mtatoa maoni
Huyo unae mtag keshaliza watu kaa mguu sawanorway ndio dream country yangu!
UKO WAPI?Naomba kujua katika sekta ya afya ni nchi gani ambayo unaweza kupata nafasi ya kuajiliwa huko.
Ninauhitaji huu msaada tafadhali
Hahaaaaaaa? KithunguWakuu kwa uzoefu vipi kuhusu lugha, lazima ung'eng'e uwe mubashara au hata kama wakuunga unga fresh
Mkuu na mim niunge ktk groupTumia namba kwa box boss
Niko Tanzania Mkuu.UKO WAPI?
Mkuu napenda unavyosisitiza kwa maana ukweli ndio huo,japo ni ngumu sana kumuelekeza mtu nchi za mbali maisha ya kule yakoje.Nakwambia ukienda nchi hizo hakuna haja kuhangaika, maji ya kunywa hata ukinywa ya chooni safi maana ni masafi kuliko dasan ya bongo, kulala utalazimika kuhangaika week ya kwanza ila week zinazofuata utakuwa ushajua chimbo za kishujaa za kukaa kwa bei rahisi, hivyo 6.5 million inakutosha na ndege ikiwepo
OkDah! Hebu niwekeni kwenye hilo group wajameni.mana nna ndoto za kwenda mambele kitamboo.
tatizo pesa ndo shida
mwanzisha thread tapeli, ameshaliza watu humu.Mwanzisha thread kakimbilia wapi?
Nna maswali muhimu yanayo hitaji majibu yakinifu.
Mkulu Daby umeshapigwa nin hahaahaTumia namba kwa box boss