Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

My concern ni kuwa uwezo wa kifedha kwa watia nia wengi siyo mzuri. Tumeona hapo juu mdau akilalamika kiasi ambacho kapoteza namna alivyo itafuta hiyo hela.Kuipata Visa ya Norway siyo kirahisi ingawa inapatikana mtu anapaswa kuwa documents za kuwashawishi embassy ikiwemo fedha ya kutosha.

Upo sahihi mkuu...mfano tu kupata student visa ya north Korea unatakiwa uwe na usd 15000 ambayo ni milion 40 za bongo.

Ila kila mtu anatarget yake. Wengine wanataka wakasome wakishafika. Wengine ni kazi. Wengine uraia mambo kama hayo. So mimi kuniambia niende namibia au Botswana then baadae ndiyo niende Canada au finland naona nachelewa.

Kwa taarifa zako Botswana na south A . Nipakavu sio kama ilivyokiwa miaka 5 kurudi nyuma. (Hizi ni taarifa za wana ambao wapo huko)

Usife moyo utapata wana wenye mrengo kama wako. Ila mimi naona nitachelewa.
 
Mkuu nadhani utakuwa umenielewa vibaya binafsi sihitaji mtu yoyote zaidi ilikuwa ni ushauri kwa wadau.
Siyo kila anaye changia ni muhanga ktk jambo fulani wakati mwingine nikutoa experience nanjia ambazo mtu alipita kasaidia mwingine atakae penda pitia.
 
Thanks
 
Jitu linakuja humu linadai lina uwezo wakusafirisha watu nje kwann lisijisafirishe lenyewe likabebe box au kuwa dishwasher
 
Nakwambia ukienda nchi hizo hakuna haja kuhangaika, maji ya kunywa hata ukinywa ya chooni safi maana ni masafi kuliko dasan ya bongo, kulala utalazimika kuhangaika week ya kwanza ila week zinazofuata utakuwa ushajua chimbo za kishujaa za kukaa kwa bei rahisi, hivyo 6.5 million inakutosha na ndege ikiwepo
Mkuu napenda unavyosisitiza kwa maana ukweli ndio huo,japo ni ngumu sana kumuelekeza mtu nchi za mbali maisha ya kule yakoje.
All in all asante sana kwa ushauri kwa majibu murua.
 
Dah! Hebu niwekeni kwenye hilo group wajameni.mana nna ndoto za kwenda mambele kitamboo.
 
Mwanzisha thread kakimbilia wapi?

Nna maswali muhimu yanayo hitaji majibu yakinifu.
 
Back
Top Bottom