Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

Nilistuka mapema na baada ya kunipa na ya mtu wa japan wakat yupo china na yy akajichanganya yupo chna kumbe yupo filand kwa mawazo yake alijua mm nimgen wa cod namba,,nikaona huyu tapel na nimemfatilia sana..
 
Naomba kujua katika sekta ya afya ni nchi gani ambayo unaweza kupata nafasi ya kuajiliwa huko.
Ninauhitaji huu msaada tafadhali
 
Kuna kitu wenzetu huwa wanafanya Collaboration yaani watu wawili au watu mnaunga nguvu ili kumudu na kupunguza baadhi ya cost lakini nivyema mkafahamiana kwanza kabla ya hatua zingine.
 
Kwa wenye interest ya nchi zisizo kuwa na complications nyingi precisely nchi za ukanda wa kusini mwa Africa kama vile Namibia,Botswana, Lesotho,SA,etc nivema kuwa na uwanja wa pamoja kama vile WhatsApp group pia kwa nchi hizi wengi wanaweza afford. Usiwaze Canada wakati hata hela ya flight ticket huna. Anza taratibu kisha utafikia huko juu.Kama kupoteza tayari miaka kadhaa imepotea so kwenda kuanza kujaribu nchi kama Botswana au Namibia siyo mbaya after all hata ukikwama ukiuza smartphone na vitu vichache nauli ya kurudi bongo tayari.
NB: Trust no one so usitume fedha popote ila jipange kuwa na kianzio cha maisha mapya na nauli.
 
Hahaha..mkuu kuna group ila ni la
Scandinavia..Canada..state...na pale kati ulaya....
 
Hahaha..mkuu kuna group ila ni la
Scandinavia..Canada..state...na pale kati ulaya....
My concern ni kuwa uwezo wa kifedha kwa watia nia wengi siyo mzuri. Tumeona hapo juu mdau akilalamika kiasi ambacho kapoteza namna alivyo itafuta hiyo hela.Kuipata Visa ya Norway siyo kirahisi ingawa inapatikana mtu anapaswa kuwa documents za kuwashawishi embassy ikiwemo fedha ya kutosha.
 
Back
Top Bottom