claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 316
- 480
Sahihi kabisa ndugu maintain your standardsHakuna mahusiano kati ya kuwa developer wa kitanzania au kimarekani. Jambo ni moja unajua au ujui.
Tusema mimi ni mtanzania, Bsc. SE nimesoma nje, hapa mimi ni developer kitanzania au huko nilikosoma?
Kama developer fanya kazi kwa standard za kimataifa, kuanzia documentation hadi code writing.
git, github, docker, hizi cloud infrastructure lazima ujue
Kati ya ugomvi mkubwa sana hapa kwetu ni hawa developer tia-maji tia-maji, Jaribu kumuambia developer akupe sample ta project alizofanya, au project open alizo contribute, uone jinsi anakushushia matusi na kuanza kujitapa anafanya project za ma makampuni makubwa makubwa na pia yeye ni hacker, hawezi kuonyesha code zake
Kumbe hamna kitu
Kuja jamaa alinitafuta anataka nifanye project, alikuja na idea tu ya APP na website. Nikamuambia mimi project siwezi ku code tu lazima nipate muongozo wa documentation ( features, flow, designing etc). Akaniambia hana, kwa kua idea alikua nzuri nikandaa mwenyewe nikamtumia, akaniuliza budget nikasema hii project sio ndogo na wewe huna office na mimi siwezi kufanya mwenyewe lazima ni employee, budget yangu ni 47M aise jamaa mpaka leo hajawai nitafuta tena
Hapa ukiwa developer wa kawaida hapa 5M unachukua projects unaunga unga templet un submit, baada ya mda unakuja kupokea threads zako JF
Wengine tuna standards zetu
Kutumumia framework sio kosa aiseeHuwez una develop from scratch wakat unatumia Frameworks, .
Ingekua amri yangu, coding watoto walipaswa kusoma procedural paradigm kwa lazima.
We have something in common japo mimi sio developer.Hakuna mahusiano kati ya kuwa developer wa kitanzania au kimarekani. Jambo ni moja unajua au ujui.
Tusema mimi ni mtanzania, Bsc. SE nimesoma nje, hapa mimi ni developer kitanzania au huko nilikosoma?
Kama developer fanya kazi kwa standard za kimataifa, kuanzia documentation hadi code writing.
git, github, docker, hizi cloud infrastructure lazima ujue
Kati ya ugomvi mkubwa sana hapa kwetu ni hawa developer tia-maji tia-maji, Jaribu kumuambia developer akupe sample ta project alizofanya, au project open alizo contribute, uone jinsi anakushushia matusi na kuanza kujitapa anafanya project za ma makampuni makubwa makubwa na pia yeye ni hacker, hawezi kuonyesha code zake
Kumbe hamna kitu
Kuja jamaa alinitafuta anataka nifanye project, alikuja na idea tu ya APP na website. Nikamuambia mimi project siwezi ku code tu lazima nipate muongozo wa documentation ( features, flow, designing etc). Akaniambia hana, kwa kua idea alikua nzuri nikandaa mwenyewe nikamtumia, akaniuliza budget nikasema hii project sio ndogo na wewe huna office na mimi siwezi kufanya mwenyewe lazima ni employee, budget yangu ni 47M aise jamaa mpaka leo hajawai nitafuta tena
Hapa ukiwa developer wa kawaida hapa 5M unachukua projects unaunga unga templet un submit, baada ya mda unakuja kupokea threads zako JF
Wengine tuna standards zetu
Tuko mbali sana, nimefanya kazi na developers kutoka mataifa mengi Africa na India, wengi ni vilaza tu.Watz tunapenda kukosoa vitu vya kwetu...
Nilikuwa na Mzambia tunasafiri nae, aisee kasifia sana mifumo yetu, parking fees system, traffic system yaani kasifia jinsi tulivyopiga hatua....mbongo yeye ni kuponda tu...
Sijasema mahala popote kuwa ni kosa, mbona unajishtukiaKutumumia framework sio kosa aisee
Watu wanadharau sana taaluma za watu....Tuko mbali sana, nimefanya kazi na developers kutoka mataifa mengi Africa na India, wengi ni vilaza tu.
Nonsense kabisaaWatu wanadharau sana taaluma za watu....
Mtu anataka e-commerce kwa 50k
Anataka POS program kwa 80k
Alafu baadae unamkuta huku anasema hakuna maprogrammer...
Kwenye ujenzi ndio dharau zimezidi uko...
Ulikua una maana gani?Sijasema mahala popote kuwa ni kosa, mbona unajishtukia
Hata kwenye hili tupo sawaWe have something in common japo mimi sio developer.
Mimi sichukui mwanamke hovyo nibandue, kuna standards nimejiwekea nachukua mwanamke smart an beautiful.
Mimi huwa sikubali fee za kijinga. Zinaumiza kila mtuWatu wanadharau sana taaluma za watu....
Mtu anataka e-commerce kwa 50k
Anataka POS program kwa 80k
Alafu baadae unamkuta huku anasema hakuna maprogrammer...
Kwenye ujenzi ndio dharau zimezidi uko...
Shida mkuu zinatofautiana, mtu inabidi ata adownload tu apate rizikiMimi huwa sikubali fee za kijinga. Zinaumiza kila mtu
Meta, Google, Amazon, Stripe, Airbnb n.k wote wanatumia frameworks.Huwez una develop from scratch wakat unatumia Frameworks, .
Ingekua amri yangu, coding watoto walipaswa kusoma procedural paradigm kwa lazima.
Sahihi kabisaMeta, Google, Amazon, Stripe, Airbnb n.k wote wanatumia frameworks.
Labda useme kutumia frameworks bila kufahamu vizuri language mama.
Ila ukifahamu vizuri kisha ukashika framework unatoa product nzuri kabisa.
Ndicho namaanisha chiefMeta, Google, Amazon, Stripe, Airbnb n.k wote wanatumia frameworks.
Labda useme kutumia frameworks bila kufahamu vizuri language mama.
Ila ukifahamu vizuri kisha ukashika framework unatoa product nzuri kabisa.