Mjadala kuhusu mahakama ya kadhi ulipoishia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala kuhusu mahakama ya kadhi ulipoishia

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jile79, Aug 24, 2010.

 1. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Nguguni zangu kulikuwa na joto na fukuto kali kutoka kwa waislamu kuhusu mahakama ya kadhi na waliishatangaza kutokipigia kura chama cha mapinduzi ccm kwa sababu tu waliondoa mipango hiyo kwenye ilani yao. Nasikia JK aliwaita viongozi wa waislamu na kuwaahidi kulishughulikia swala hilo hapo baadaye baada ya kupata urais na amewaomba waislamu wasimwangushe wampe kwanza kura kwani yeye kama rais hatashindwa kulishughulikia kwa njia nyingine bilka hata kuwekwa kwenye ilani.....nasikia ndiyo maana waislamu wako kimya kwani tayari wameridhishwa.
  NISAIDIENI WANA JAMVI.
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Najua itakuwa rahisi kwake kupitisha maana atakuwa hana cha kupoteza 2015
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  this is what it is........and it is what all people know
   
 4. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walisharuhusiwa, wawe huru , kufanya wanachotaka kufanya bila kuihusisha serikali. Nchi hii tuna uhuru wa kuabudu, kwa hiyo ni ruksa kwa yeyote anayetaka kujifanyia mambo kadiri ya imani yake.:A S 100::A S 100:
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Aug 26, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  JK anataka kuongeza tatizo juu ya tatizo! Muungano ndio huo umeshamfia hana habari, anataka kuongeza tatizo jingine la kidini? Anafikiri fedha alizojipatia kwa kusafiri dunia nzima zitaweza kumfanya aishi kwa amani?
   
 6. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Nasita kuchangia maana habari hizi zinaweza kuwa za mtaani. Chanzo please!
   
 7. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Ngoja kampeni za Chadema zianze, JK atakumbushwa kuhusiana na hili la ahadi ya mahakama ya KADHI ndipo upepo utavuma kuelekea TUCTA.
   
Loading...