Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,017
Eti kuna Kungwi mmoja anawaambia watu Wavae Kondomu mana ile damu ya bleed ni nomaa bora Ya Bikra haina shida
Husababisha mirija kuziba kwa mwanaume
Siyo vizuri... adhari zipo kama vile mambukizo kwenye mirija ya kupitishia haja ndogo...
je nikitumia kinga kwa leo athari hiyo nitaipata bado???NI RAHISI KUPATA UKIMWI KAMA MMOJA NI MUATHIRIKA
Mwambie akupigishe punyeto.kama ni mtaalamu yaani ni taaam kuliko kugegeda.wamekuja mkuu,yamenikuta na staki kuchepuka mkuu ndo maana
TENA NI NAJISI NA MACHUKIZO MBELE YA MUNGU KUTEMBEA NA MWANAMKE ALIYEKO KWENYE HEDHIhedhi ni ugonjwa?
jibu swaliTENA NI NAJISI NA MACHUKIZO MBELE YA MUNGU KUTEMBEA NA MWANAMKE ALIYEKO KWENYE HEDHI
sababu ni niniTENA NI NAJISI NA MACHUKIZO MBELE YA MUNGU KUTEMBEA NA MWANAMKE ALIYEKO KWENYE HEDHI
punyeto tenaMwambie akupigishe punyeto.kama ni mtaalamu yaani ni taaam kuliko kugegeda.
Ndo vile tunafanyaga man
sawa mkuu,ili mimba istokee nipige sku ya ngapHutoweza kumpa mimba kwa siku hiyo kwa sababu ,atakuwa anavuja piga siku ya NNE baada ya hedhi utapata Furaha yako *Mtoto*
Nawaza tu bado asubuhi
duuu thubutu yakeeeMakonda amekataza ww!!!!
Pia ngiriHusababisha mirija kuziba kwa mwanaume
hii kidogo imenitishaPia ngiri