Nyie mmezaliwa leo? Hizi adhabu na zaidi ya hapa tulizipata shuleni na mtaani pia. Mtoto alikuwa ni wa mtaa, yaani ukifanya kosa waweza adhibiwa na hata na mtu asiye mzazi wako. Kwangu mm ilinijengea nidhamu ambayo ukiambatanisha na mafundisho ya wazazi, leo hii niko pazuri...Mungu ni mwema. Sema kwa ss kuna changamoto katika kutoa adhabu km hizi kwa kizazi hiki.
Yote ni heri, lkn sioni mantiki ya kuwatusi walimu kwa kutoa hizi adhabu. Watoto wa digitali wanahitaji more than kuonywa. Hata maandiko yameeleza hilo. Tandika fimbo ukiambatanisha na maonyo.
Mm sioni taabu kuhusu adhabu hii!