Hakuna haja ya Rais Magufuli kwenda kwa Mabeberu
Km Mabeberu yanataka ushirikiano na Tanzania Waziri wa mambo ya nje yupo
Unafikri MBOWE huyo aliepata ziro secondaryMnnazunguka Mbuyu mtu mnafhamu kuwa kingereza kinampa shida achilia...mbali PhD fake
upuuzi huu umetoka kwenye akili nyeusi tena topeMtu anayekwenda kanisani kwa ajili ya kufanya kampeni huyo sio kiongozi,mzee Julius Nyerere alikuwa anakwenda kusali na kurudi kwake muda wa kampeni anafanya kampeni,Mzee mwinyi na ache Mkapa wanasali na kurudi nyumbani sasa unapomleta huyu kwenye darasa huru ni kupoteza vocha tu
Unafikri MBOWE huyo aliepata ziro secondary
Sent from jamii forums
Hata viongozi wa China Japan Korea Russia German France Italy Scandinavian hawaongei English kumbuka raisi wa China alivyokuja hapa alihutubia kichina na magufuli sio lazima kwake pia hao niliokutajia pamoja na magufuli hawakufeli shule Wala hawajawahi kuwa madjs! Ndio uone huyo DJ makengeza anakaa fungu ganiSasa ataongea nini huko kwa mabeberu......wakati kichwani kumejaa Ugoro.
Hata viongozi wa China Japan Korea Russia German France Italy Scandinavian hawaongei English kumbuka raisi wa China alivyokuja hapa alihutubia kichina na magufuli sio lazima kwake pia hao niliokutajia pamoja na magufuli hawakufeli shule Wala hawajawahi kuwa madjs! Ndio uone huyo DJ makengeza anakaa fungu gani
Sent from jamii forums
Unafikiri Ni mbowe alie feli secondary hilo ni jembe magufuli Wala sio Disco jokerMpelekeni shule PhD fake ndo zinamfanya anakimbilia kijijini.
Mnnazunguka Mbuyu mtu mnafhamu kuwa kingereza kinampa shida achilia...mbali PhD fake
Umenikumbusha Trump alienda na binti yake Ivanka kwny kikao cha G20 huko Osaka,then muda wa break watu wakawa wamesimama kwny group wakiongea akiwemo Macron, May, Trudeau na Lagarde (IMF head) na yeye Ivanka akaja kujipachika hapo hahah aisee wanakwambia alikua hajui chochote khs subject matter iliyokua discussed(Economics,International Politics etc) na alikua ni pointless & inappropriate,hahah wazungu hawafai.Kama hujui huko Duniani mambo yanavyokwenda, ukienda utaongea nini, hasa pale kikao rasmi kimekwisha mmekaa manakunywa chai mnapiga stories, au maswali kutoka kwa waandishi wa habari.
Ningefurahi aende hukohuko akawakoromee kuhusu Ubeberu wao kwa Taifa teule Tanzania. Zaidi ya kuwa mahiri kwenye siasa za ndani, ni kitu gani cha Mabeberu anakipenda na kukifahamu vizuri, mfano...mpira wa ulaya, movies, musics.....