Mjadala: Hivi ni kila mwanaume anayetoka kimapenzi na mwanamke aliyemzidi umri ni Mario/kibe-10?

As for Kasie am allergic to numbers meaning to me age is a number and it matters.

Akinizidi kuanzia miezi 6 ruksa, umri sawa hapana.... raha ya kubishana na kujibizana kimahaba anizidi umri. Ikitokea akawa na mwili mkubwa au mdogo na akanidanganya umri ili anipate, nikija kujua..... atajuta kunifahamu.

Huo ndo ukweli na siri ya Kasie.

Kasie Mahaba.
Real?

Kwa hiyo akiwa dogo unaogopa kumwita baby darling hubby..
 
Na viben 20navyo sikuhizi vimezidi kha yaan vina kasi ya ajabu haviogopi kuchungulia mama zao na mijimama nayo mtu litumbo lipo magotin unaenda mmanulia mtoto mdogo akimezwa je tuwe na aibu kha kila mtu abanane na wa umri wake
To me ukivutika na kumpenda mtu bebaneni.... Haukumwona President wa France?
 
Kumbe hujali umri eeh? Basi asante kwa kunipa moyo wa kuendelea kukuganda. Ila seriously kutoka na mtu uliyemzidi umri jamani hata hainogi....kwanza aibu imagine mimi leo nimvulie chupi mtoto wa miaka 23 we Daby tafadhali bwana...raha ya mwanamke kudeka hivi unaanzaje mama mtu mzima unadeka kwa kitoto umekizidi miaka 6, 8 sijui 12 huko... ila naona ndo habari ya town siku wacha tu nibakie na ushamba wangu
Haujakutana na kiserengeti wewe....

Mwangalie shish na uchebe. Likinoga hata vyeti vyako kuvitazama unaacha khantwe.

Nani kakuambia unanizidi umri?
 
Tatizo tunafanya mambo kwa mazoea, nadhani kuna watu huko zamani walidhani umri unaamua utamu, udogo wa maumbile ya kike, na akili bila yakufanya tafiti. Kwa hali ilivyo sasa, haswa kwa wanawake wa mjini, unaweza ukakuta binti wa miaka 18 amekwisha tembea na tarafa nzima, yaani viungo vyake vya uzazi vimetumika sana kuliko makusudio ya Muumba. Hali kadhalika unaweza ukakuta dada wa makamo amejitunza bado yuko vizuuri kabisa, kimaumbile na utamu. Au ukakuta kijana wa mjini wa miaka 16 amepevuka kiakili kuliko mbaba wa zaidi ya miaka 40 wa mkoani. Mimi nafikiri tuache kukariri, kila jambo liamuliwe kadiri linavyotokea.
Umenena vyema mzee... Watu wamekariri tu na hii Formula wameshaimeza
 
akikuzidi 15 kushuka chini. haina shda ila jamii inayotuzunguka ndo tatizo.
kuna marafiki zangu wana vibibi vilivyo staafu. vya dernmark, germany, na uingerez. na maisha yanasonga ni wapgnaji kwenye kutafuta pesa lakn ndo washaamua kula vibibi,
Kuna siku nilikuwa ubalozi wa Italy pale akaja kibibi na dogo Kama sikosei atakuwa na 23 bibi alikuja tour sasa wakakutana akataka kukabeba...

Nikaona wanamzingua asiondoke naye. Bibi aligomba saana ikabidi kila mmoja kwenye foleni acheke.

Bibi alikuwa a an'gan'gania kwenda kukunwa aseeh.
 
Daby vingi havijielewi wanajiona watoto bado, anaona anayo haki ya kutunzwa sio uchumi tu kimawazo, mikakati, life plans
Kikubwa. KUTOKUJIAMINI mkipishana jambo kidogo la kawaida hupeleka mawazo unamdharau kumbe ni kawaida hata kwa Mengi na Jack
Tena asiwe last born utaliaaa
Hawa wa hivi Kweli ni wabaya... Lakini jamii bila hata kujua ni mbaya au mzuri imekuwa inamchukulia mwanamke anayetembea nao vibaya.
 
Ki ben ten ni kama umepishana na mwanamke wako kuanzia miaka 10...marioo sasa ni wala wanaume wachache waliojua kwenda na wakati yani wakati huu ni wa haki sawa kwa wote...kama uboss ni wote,ajira wote,pesa tunazo wote...sasa hawa marioo walishajigundulia mapema anaegharamikia siku hizi ni aliyependa sana...tofauti na zamani ilikuwa mwanaume unasifiwa kwa kujua kuhudumia mke kwa kila kitu... siku hizi wanawake wametufundisha wenyewe mwanaume mashine kwahiyo vijana wameongeza nguvu kitandani kama watakavyo mabinti wa sasa na wameenda na wakati hawataki kugharamikia...unakojozwa bao zako tatu unanipa pesa naenda kubet....
Haha
 
Kumbe hujali umri eeh? Basi asante kwa kunipa moyo wa kuendelea kukuganda. Ila seriously kutoka na mtu uliyemzidi umri jamani hata hainogi....kwanza aibu imagine mimi leo nimvulie chupi mtoto wa miaka 23 we Daby tafadhali bwana...raha ya mwanamke kudeka hivi unaanzaje mama mtu mzima unadeka kwa kitoto umekizidi miaka 6, 8 sijui 12 huko... ila naona ndo habari ya town siku wacha tu nibakie na ushamba wangu
Ulishafukuzwa JF!!.............mbona bado upo???
 
Back
Top Bottom