Mizuka Imewapanda baada ya kunywa POMBE

so zimebadili mpera kuwa chupa ya bia?? na shahawa kuwa bia??
 
ni kiashiria cha eneo la kwanza ulevi unapokutuma....................
 
so zimebadili mpera kuwa chupa ya bia?? na shahawa kuwa bia??

siamini kama umeweza kuliandika hilo neno kama lilivyo, ingawa sikufahamu picha ambayo ninayo kichwani kuhusu wewe, we acha tu.
 
siamini kama umeweza kuliandika hilo neno kama lilivyo, ingawa sikufahamu picha ambayo ninayo kichwani kuhusu wewe, we acha tu.

uzuri ni kwamba utachora picha zote ila tu ku lebo utashindwa manake kwangu kuliko na mguu ndo shingo ilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…