hii ni mizinga ya primary hii..
"tafadhali nipigie"
Dia nirushie buku hm hawajapika kitu
Nirushie jero nataka kuongea na mama
Ongezea nyingine ulizokutana nazo
Beby nilikuwa mjini wameniibia pochi sina hata nauli na sijala tangu asubuh, naomba nirushie 5000 tigo pesa mpenzi wangu!!