Mizinga mpaka lini?

Sasa umaarufu wann ??? Kwanza siupendi umaarufu japokua natakiwa kua maarufu!!

Alafu pia brother ,Mimi sipendi kushobokewa hata kidogoooooo ,, sasa shobo zinisaidie nini???

Ungejua ,, huwa najitahidi kuishi kuepukana namambo kama hayo uloyataja ,,ndio maana kwangu Mimi kila kitu kipo sawa .[emoji123] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…