Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Kama upo na mwanamke anajifanya ni rafiki wa kike na mizinga ya hapa na pale haiishi kwa gia za urafiki ni bora umtongoze ili akikataa na urafiki uishie hapo hapo
Mchepuka upi tena unataka umpe simu used?Buda simu zipo hizo used?
Mama nanii kuna mtu anasumbua eti imedondoka kwenye maji.Mchepuka upi tena unataka umpe simu used?
Mnunulie mbaya mbaya😀😀Mama nanii kuna mtu anasumbua eti imedondoka kwenye maji.
Sasa nimemwona mleta mada anatangazo kwenye ID yake.
Hilo neno "BUDA"umenikumbusha Nairobi nilivyokuwa shule..[emoji28] [emoji28] [emoji122] [emoji122] [emoji121] [emoji121]Buda simu zipo hizo used?
Hahaha.... Haumtaki mwenyewe nimemchoka namtafutia iliyovunjika kiooMnunulie mbaya mbaya😀😀
Hilo neno "BUDA"umenikumbusha Nairobi nilivyokuwa shule..[emoji28] [emoji28] [emoji122] [emoji122] [emoji121] [emoji121]Buda simu zipo hizo used?
Hizo ndiyo lugha zetu johHilo neno "BUDA"umenikumbusha Nairobi nilivyokuwa shule..[emoji28] [emoji28] [emoji122] [emoji122] [emoji121] [emoji121]
Hahah ee ilovunjika kioo itamfaa sanaHahaha.... Haumtaki mwenyewe nimemchoka namtafutia iliyovunjika kioo
Acha boss umenikunbusha pale DAGORATTE CONNER HIDDEN TALENTS... miaka kama saba iliyopita, Buds,job,karau,nimekatia dem,amenibaba,father,hao,....Hizo ndiyo lugha zetu joh