Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,152
- 1,696
Je, kuna mtu anaweza kuleta ushahidi kuwa Mizimu ipo?
Anajifikiria kwa maisha anayopitia halafu akifa anaambiwa atakuwa mzimu wa familia anaona kabisa shida bado iko palepale!Aisee!!! Kwanza umefikiria nini mpaka kuja kuuliza Hilo swali !?
Kuna uchunguzi naufanya.Aisee!!! Kwanza umefikiria nini mpaka kuja kuuliza Hilo swali !?
😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣Anajifikiria kwa maisha anayopitia halafu akifa anaambiwa atakuwa mzimu wa familia anaona kabisa shida bado iko palepale!
😁😁😁😆😆Anajifikiria kwa maisha anayopitia halafu akifa anaambiwa atakuwa mzimu wa familia anaona kabisa shida bado iko palepale!
Kwamba bado atakumbana na tozo za miamala ya simu ?Anajifikiria kwa maisha anayopitia halafu akifa anaambiwa atakuwa mzimu wa familia anaona kabisa shida bado iko palepale!
Aisee !!! Utafiti mwema mkuuKuna uchunguzi naufanya.
Lakini katika miaka yangu ya utafiti huo sijawahi kukumbana na vitu viitwavyo Mizimu, Kwahiyo nahitaji ufafanuzi zaidi kwa ajili ya kukamilisha uchunguzi wangu.
😁😁😁😆 Atakuwa anaombwa na nduguze Awasaidie wapate kazi etc hakuna kupumzikaKwamba bado atakumbana na tozo za miamala ya simu ?
Haelewi lakini ndo jukumu lake sasa hapa mkimthibitishia tu basi ataanza kutusumbua sasahivi hata kabla hajawa mzimu...🤣😁😁😁😆😆
Kwamba hakuna kupumzika !!!
na LBL...🤣Kwamba bado atakumbana na tozo za miamala ya simu ?
Hatari sanana LBL...🤣
Hadi kiama kifike, mzimu upo hoi bin taabani😁😁😁😆 Atakuwa anaombwa na nduguze Awasaidie wapate kazi etc hakuna kupumzika
😁😁Haelewi lakini ndo jukumu lake sasa hapa mkimthibitishia tu basi ataanza kutusumbua sasahivi hata kabla hajawa mzimu...🤣
Hadi kiama kifike, mzimu upo hoi bin taabani
Wewe uliambiwa na nani hizo habari za mizimu au ulisikia wapi?Je, kuna mtu anaweza kuleta ushahidi kuwa Mizimu ipo?
Mganga huyu hapa Dogoli kinyamkela atakupa ufafanuzi.Je, kuna mtu anaweza kuleta ushahidi kuwa Mizimu ipo?
Kwahiyo unafanya utafiti kwa miaka hadi sasa ila bado hadi muda huu hujui mizimu ni nini? Inashangaza kwa kweli.Kuna uchunguzi naufanya.
Lakini katika miaka yangu ya utafiti huo sijawahi kukumbana na vitu viitwavyo Mizimu, Kwahiyo nahitaji ufafanuzi zaidi kwa ajili ya kukamilisha uchunguzi wangu.