Takishangaa chama changu kwa kurudisha mizimu ya wana ccm walioondoka wakati wa mapambano magumu. Mwapachu na wasaliti wote ni mizimu isiyohitajika ccm. Kuwakatalia kurudi ccm itakua fundisho kwa wengine ifikapo 2020. Wabaki hukohuko waimarishe upinzani na hv karibuni tutawatimua wasaliti waliobaki ccm. Iwe fundisho kwa wengine.