Mizigo ya transit natafuta wenye magari

MUST

Senior Member
Mar 11, 2012
107
63
Wakuu kwenda. Kuna jamaa yangu amenipa tenda ya kusfirisha mizigo Mingi ya kwenda Congo Rwanda Zambia. Pia Nina mizigo ya local Mingi tu. Kwa atakayehitaji kazi Tume email kwenda raiatz@yahoo.com au anipm
 
Napata Shaka Na Hii Taarifa / Uzi Wako!!! KAMA Ni Serious Issues Mkuu!! NADHANI Ungeweka No Zako Tu Kwanza, Ili WADAU Tuchonge Nawe Faster! KUNA Gari Za Kutosha Na Za Ukweli!! KAMA Unaona Ngumu Nifuate PM Mkuu!!
 
serious unahitaji huduma ya transport kwa hizo mizigo?
 
Napata Shaka Na Hii Taarifa / Uzi Wako!!! KAMA Ni Serious Issues Mkuu!! NADHANI Ungeweka No Zako Tu Kwanza, Ili WADAU Tuchonge Nawe Faster! KUNA Gari Za Kutosha Na Za Ukweli!! KAMA Unaona Ngumu Nifuate PM Mkuu!!
Nawe pia ungefanya hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom