Mizigo imezidi Bandarini yaani malori barabarani hadi karaha

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,741
6,432
Jamana naona mizigo sasa imekuwa mingi kama Enzi za Kikwete. Malori yanajaa barabarani hadi karaha hasa barabara ya Dar Moro. Imani yangu sasa mapato ya serikali yafike trilioni 1.5 kwa mwezi .
 
Kama unaweza ukahesabu idadi yake toka asubuhi dar-bara basi ni zaidi ya 10,000 kwa siku, ni mengi mno
 
ukipitia coment za vijana wa lumumba yani wao wanajua chadema na ccm ni kama simba na yanga yenyewe hayaangalii nchi yanafanya vitu kwa kusikilizia chadema
 
Jamana naona mizigo sasa imekuwa mingi kama Enzi za Kikwete. Malori yanajaa barabarani hadi karaha hasa barabara ya Dar Moro. Imani yangu sasa mapato ya serikali yafike trilioni 1.5 kwa mwezi .

kumbe mwanzo hayakuwepo mlikuwa mnabisha nini sasa? sasa malori yanaonekana hii ina maana mapato ya bandarini yalikuwa yanapikwa mana malori utokaji wake ulikuwa mdogo
 
Kuna relationship kati ya heading na ulichoandika hapo chini kwel?duuu no research no right to blablaaaa
 
Weka picha waone la sivyo
Mathomaso hawatakuamini. Kipi kimefanya yaongezeke?
 
Mizigo imejaa bandarini,magari/malori mengi barabarani moro road -story yako haijabalance wala kurelate kabisa!!!
 
Ni kweli mizigo imekuwa mingi,ila wenye malori nao wananyonywa na madalali.
 
Jamana naona mizigo sasa imekuwa mingi kama Enzi za Kikwete. Malori yanajaa barabarani hadi karaha hasa barabara ya Dar Moro. Imani yangu sasa mapato ya serikali yafike trilioni 1.5 kwa mwezi .
Nina mashaka hujui tofauti ya Lori,fuso na Canter.
We kila ukikutana na gari lenye career nyuma ni Lori.
Hata Kalandika za polis wewe utaziita malori tu.
Kwani lini uliambiwa foleni ya magari imepungua dar kwa sababu ya malori ya mizigo toka bandarini kupungua?
 
Back
Top Bottom