Mizani ya kisasa inauzwa

Mizani ya kisasa inauzwa

Graduator

Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
43
Reaction score
41
DIGITAL ELECTRONICS WEIGHT SCALE

Tunauza mizani za kisasa kwa ajili ya kupimia uzito kwa matumiz ya mahospitali, mashuleni, familia na kwa wale wenye programme ya mazoezi na diet.

Mizani zetu ni simple kutumia kwa rika lote na hupima uzito kuanzia kilo moja (1kg) mpaka kilo mia themanini (180kg)
Kwa bei nafuu ya shilingi 40,000 tu

Tupigie tukuletee popote ulipo kwa namba;
0655997761
0692431566

photocollage_2019121883919935.jpg
 
Back
Top Bottom