Hakika. Jaza ujazwe Ina uhuni gani? Na kwanini wabongo waliita tupu ya nyuma Tigo? Mi naona wabongo ndo wenye shida. Wameacha kujiita Tigo Sasa hivi wamefuatwa huko mix by yas ikihusishwa na ufirauni!Wewe ndie mhuni mhuni
Wewe ndo muhuni, tafuta hela ,makasiriko ya kijinga hutayaona.Hivi hakuna chombo chochote cha kufuatilia aina ya matangazo ambayo makampuni wanayaandaa kabla hayajatangazwa kwa umma?
Ilipokuwa ikiitwa TIGO hawa jamaa walituletea msemo kwenye tangazo lao usemao: JAZA UJAZWE. Huu msemo una ukakasi wa kihuni/kingono.
Sasa wamejibadili jina na kuwa Mixz by Yas. Jina tu ni la kihuni halafu wanatuletea msemo kwenye tangazo lao usemayo: IKIINGIA TU, GOLI! Maana yake nini kama si uhuni na ungono tu??
Serikali iwaangalie hawa wahuni wanatuharibia maadili!
Hebu sema kidogo kuhusu hii nayo ya "IKIINGIA TU, GOLI"!!Hakika. Jaza ujazwe Ina uhuni gani? Na kwanini wabongo waliita tupu ya nyuma Tigo? Mi naona wabongo ndo wenye shida. Wameacha kujiita Tigo Sasa hivi wamefuatwa huko mix by yas ikihusishwa na ufirauni!
Silijui hilo tangazo context ni nini, Mimi natumia vodaHebu sema kidogo kuhusu hii nayo ya "IKIINGIA TU, GOLI"!!
Hivi hakuna chombo chochote cha kufuatilia aina ya matangazo ambayo makampuni wanayaandaa kabla hayajatangazwa kwa umma?
Ilipokuwa ikiitwa TIGO hawa jamaa walituletea msemo kwenye tangazo lao usemao: JAZA UJAZWE. Huu msemo una ukakasi wa kihuni/kingono.
Sasa wamejibadili jina na kuwa Mixz by Yas. Jina tu ni la kihuni halafu wanatuletea msemo kwenye tangazo lao usemayo: IKIINGIA TU, GOLI! Maana yake nini kama si uhuni na ungono tu??
Serikali iwaangalie hawa wahuni wanatuharibia maadili!
Wabongo wana maadili?Basi usiwatetee. Ni wahuni; waharibifu wa maadili ya kitanzania hawa!
Hapa ni wapi?Hivi hakuna chombo chochote cha kufuatilia aina ya matangazo ambayo makampuni wanayaandaa kabla hayajatangazwa kwa umma?
Ilipokuwa ikiitwa TIGO hawa jamaa walituletea msemo kwenye tangazo lao usemao: JAZA UJAZWE. Huu msemo una ukakasi wa kihuni/kingono.
Sasa wamejibadili jina na kuwa Mixz by Yas. Jina tu ni la kihuni halafu wanatuletea msemo kwenye tangazo lao usemayo: IKIINGIA TU, GOLI! Maana yake nini kama si uhuni na ungono tu??
Serikali iwaangalie hawa wahuni wanatuharibia maadili!
Sijui Genesis ya kauli za hawa jamaa kuhusishwa na ngonoMisemo ya misimu/muda mfupi tu.Usiteseke ingawa huo mtandao kila kauli mbiu zake hubadilishwa maana na ndivyo hutangazwa zaidi.Ni faida tupu kwa kampuni kutangaziwa hizo kaulimbiu zao bila gharama yoyote.
KUMBUKA-Buzz ni bomba ...la m...!
lilikuwa ni jina tu, ila sasa limekuwa linked na makalio makubwa"Makebo" maana yake halisi ni ipi na maana mpya ni ipi?
Naamini wao huwa wanalenga biashara na uchangamfu.Changamoto huwa kwa wapokea ujumbe.Sijui Genesis ya kauli za hawa jamaa kuhusishwa na ngono
Sure maana ilifika wakati hata kusema neno Tigo unaona aibuNaamini wao huwa wanalenga biashara na uchangamfu.Changamoto huwa kwa wapokea ujumbe.