Natafuta miwani ya jicho moja(yaani kwa mtu anayependa kufunga jicho anapopiga shabaha ndio wanaoitumia), Au kikamba fulani hivi wanavaaga watu kinakuwa na kijisehemu cha kufunika jicho moja. Kazi yake ni kufunika jicho moja, au miwani ya kuzibia jicho moja ili mtu aweze kuangalia kwa jicho moja.
Msaada wenu wana JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vinaitwa eye patch mara nyingi kuvaliwa na watu waovu waliong'olewa macho kama hawaNatafuta miwani ya jicho moja(yaani kwa mtu anayependa kufunga jicho anapopiga shabaha ndio wanaoitumia), Au kikamba fulani hivi wanavaaga watu kinakuwa na kijisehemu cha kufunika jicho moja. Kazi yake ni kufunika jicho moja, au miwani ya kuzibia jicho moja ili mtu aweze kuangalia kwa jicho moja.
Msaada wenu wana JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Napata wapi kwa hapa Dar es SalaamHivyo vinaitwa eye patch mara nyingi kuvaliwa na watu waovu waliong'olewa macho kama hawaView attachment 1021354View attachment 1021355View attachment 1021356
#bamia_ndefunene
Nenda CCBRT msasani naamini utapata
Ahsante sana mkuuNenda CCBRT msasani naamini utapata
#bamia_ndefunene
Nick Fury aka Samuel JacksonHivyo vinaitwa eye patch mara nyingi kuvaliwa na watu waovu waliong'olewa macho kama hawaView attachment 1021354View attachment 1021355View attachment 1021356
#bamia_ndefunene