Miuno ya H Baba !

Mh mh mh......koh koh koh....aaaah, mashaaalah mwasema kwe ninyi?
Panapo majaaliwa inshaalah Itabidi nitafute muda muafaka nijionee mwenyewe, nimefurahishwa na ya kuchezesha t.ako moja ilhali moja limeganda, sijaiona muda mrefu hii tangu nilipomuona khanithi mmoja hivi pale Lamu wakati narejea zangu toka Maskati.
Vipi huwa anakubali tenda na mialiko ya kuja kunengulia majumbani, kuhusu malipoo mantashaka.

tan taraaaaa!..
 
BAGAH, Huyo mjamaa ni noumer! Hivi unajua sometyms anao uwezo wa ku'vibrate saburi moja tu ! While saburi mwenza kaligandisha ! Then akitaka tena anaya'vibretisha yote mawili .
Hatariii .

hahahahahaa makubwa haya!
 
Mh mh mh......koh koh koh....aaaah, mashaaalah mwasema kwe ninyi?
Panapo majaaliwa inshaalah Itabidi nitafute muda muafaka nijionee mwenyewe, nimefurahishwa na ya kuchezesha t.ako moja ilhali moja limeganda, sijaiona muda mrefu hii tangu nilipomuona khanithi mmoja hivi pale Lamu wakati narejea zangu toka Maskati.
Vipi huwa anakubali tenda na mialiko ya kuja kunengulia majumbani, kuhusu malipoo mantashaka.

PJ ! Mama yangu !
Unan'tishaje ?
Unatamani kumpa mualiko ?
Haya kakubali kuja, akakunengulia what next ?
 
Kuna na yule mzembe mwengine wanamwita bob junior sjui nani, yaani mtoto wa kiume anakatika halaf kalegeza mpaka mabega na kidole kiko hewani. Suluhisho hapa ni kuongeza nyumba ndogo tu manake wanaume tupo kidogo na hao kidogo wenyewe wengine mapunga na kinadada wanahitaji huduma za kimaumbile.
Yaani Sipendi kabisa mambo ya nyumba ndogo lakini itabidi nijilazimishe tu ili kuiokoa jamii.
 
Hahahahahaaaa! LawYER hapa umeua, daaah! Mapunga!...lol
 
Kuna na yule mzembe mwengine wanamwita bob junior sjui nani, yaani mtoto wa kiume anakatika halaf kalegeza mpaka mabega na kidole kiko hewani. Suluhisho hapa ni kuongeza nyumba ndogo tu manake wanaume tupo kidogo na hao kidogo wenyewe wengine mapunga na kinadada wanahitaji huduma za kimaumbile.
Yaani Sipendi kabisa mambo ya nyumba ndogo lakini itabidi nijilazimishe tu ili kuiokoa jamii.

Hii comment hata Jeikei akiiona lazima aikubali, imetulia .
 
Back
Top Bottom