Miuno ya H Baba ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miuno ya H Baba !

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Mar 16, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Wadau nna imani ni jioni tulivu na mko poa.
  Majuzi kuna Sredi ilishushwa hapa Jamvi,
  ikiwa inaonesha kutia mashaka wasani wa kiume wanaoshiriki sanaa ya Taarab, na mtoa Thread akawaoneshea kidole wanaume hao kwamba anatia shaka na uthabiti wa uanaume wao.
  Mimi nitoke huko taarabuni nije kunako kizazi kipya.
  Na namnyooshea kidole msanii H. Baba ile miuno ya kufa mtu, anayoikataga imekaa kiume kweli ?
  Mtoto wa kiume anapendezea kivile ?
   
 2. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mie huwa nabakia kushangaa hasa ule wimbo wake aliovaa kama kofi...kijana anazungusha
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,641
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Ukiona kiuno kinazungushika basi ujue makalio na hips zimetanuka
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  EW , Sasa hiyo mizungusho ndiyo niiulizayo, imekaa kiume ?
   
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ...umenikumbusha leo nimeona mkaka anakatika kwenye tv...af akageuka kalio,akakatika zaidi...wakazoom ****...then likagandishwa...bo!...sasa najiuliza iyo inamana gani akati yule mtoto wa kiume??
  H baba kwa masikio yangu nililmsikia ktk interview moja akisema yeye ni bingwa wa kukata mauno tanzania nzima...sasa unafikiri kuna masihara hapo!
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  zimetanuliwa na nini???
   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mazoezi yakunengua...
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  BAGAH, Huyo mjamaa ni noumer! Hivi unajua sometyms anao uwezo wa ku'vibrate saburi moja tu ! While saburi mwenza kaligandisha ! Then akitaka tena anaya'vibretisha yote mawili .
  Hatariii .
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jg,
  hahahahahaaaaaaa....mpaka maka!..
  ww umezoea kuzungusha mauno ukiwa faragha tu...wenzio wanaonesha jukwaani...LOL
  lakini ana asili ya kongo ambao ni wanenguaji mahiri...so labda limekaa kijenetik zaidi braza.!
  ndio ivo chakula ya watu iyo...TULIAA!
   
 10. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ???????....!!!!!!!
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  itabidi nivizie kwenye TV nimwone. Wanamuoneshaga channel na kipindi gani?
   
 12. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ITV ...kipindi cha JIJI LETU
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  Mme mi hapa napita tu.
   
 14. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna ubaya mwanaume kukatika,ni aina tu ya kucheza mziki hata kwenye Ngoma za kienyeji wanaume huwa wanakatika tena sana.
   
 15. s

  shosti JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hhaahhhaaaa sikutaka kucheka...ila mmepinda wachangiaji wa humu
   
 16. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,511
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kila mtu na uwezo wake ulipofikia
   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Mke unapitaje ? ilhali mi nakusakanya Sredi hadi Sredi, Jukwaa hadi Jukwaa ? Nilikubamba kwenye thread ya Mnyihanzu sijui ukachoropokaje! Usiku mwaka my wife nataka tuwe karibukaribu .
  Kwanza twen'zetu tukalale, mwenzio nataka !
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,641
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Kuna uwezekano anatumia mchina au vitamini vimezidi
   
 19. PakiJinja

  PakiJinja JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mh mh mh......koh koh koh....aaaah, mashaaalah mwasema kwe ninyi?
  Panapo majaaliwa inshaalah Itabidi nitafute muda muafaka nijionee mwenyewe, nimefurahishwa na ya kuchezesha t.ako moja ilhali moja limeganda, sijaiona muda mrefu hii tangu nilipomuona khanithi mmoja hivi pale Lamu wakati narejea zangu toka Maskati.
  Vipi huwa anakubali tenda na mialiko ya kuja kunengulia majumbani, kuhusu malipoo mantashaka.
   
 20. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,377
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  Nyie watu nyie!
   
Loading...