Miundo ya hoteli Duniani

Hotel ya gharama niliyolala ni 250,000/= per day, kwakweli niona utulivu wa mwili ambao huku mtaani huupati. Tutafute pesa jamani, angalau mara 1 kwa mwaka. Unakuta mtu anachangia harusi 150,000/=, lakini yeye kutoka na familia yake kwenda sehemu nzuri kuinjoy na kuteketeza kiasi hicho cha pesa anaona ni matumizi mabaya ya pesa.
 

Hi mteule, Kwa ile research niliyofanya kidogo huwa mara nyingi mmiliki wa jengo anatafutaga haya makampuni makubwa kwa experience na sifa zao duniani. Wanaingia katika makubaliano ya kuendesha na kusimamia standards, lakini mara chache sana baadae kununua jengo lenyewe. Mainly ni kwajili ya umaarufu kwamba wako topclass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…