Miundo ya hoteli Duniani

Miundo ya hoteli Duniani

Gran Melia Arusha

Building-1068x712.jpg

Gran-Mellia-Arusha-Lobby.jpg

gran-melia-arusha.jpg

gran-melia-arusha.jpg

a0e13417dfd99aa24d7b8b4cbb04b81d.jpg

Walahi wabilahi kuna watu wanaishi me nasindikiza (nakazia mimi maana sjui hali za wenzangu humu ndani) sidhani kama nitakaa niingie hizo place until judgement day.

Distributed Denial-of-Service
 
Walahi wabilahi kuna watu wanaishi me nasindikiza (nakazia mimi maana sjui hali za wenzangu humu ndani) sidhani kama nitakaa niingie hizo place until judgement day.

Distributed Denial-of-Service
haha, hizi nazo onyesha hapa sio za bei kubwa saaana(laki moja tu), which is ticket ya mabasi ya mikoani.. Ni kwamba tu muundo wake umejengewa vizuri na watu wanojua wanachofanya
 
Ukilala kwenye hizi Hotel mfululizo kwa mwaka mzima wa siku 360 yani unalala kwa mtiririko wa

1 month = hotel ya 1

2 month = hotel ya 2

unaenda kwa mtiririko huo mpk december unakua umelala hotel 12 tofauti,kusema ukweli ukisikia mtu

kasema amekula miguu ya kuku na vichwa unaweza ukamshangaa,mtu akwambie asee huku kuna joto kali

sidhani kama utamuelewa maana mmh,kwa kweli duniani kuna watu wanaishi yani ukiangalia mijumba kama hii

unajiona kumbe mi bado sana yani taka taka sipaswi hata kufungua bakuli langu mbele ya watu.
 
haha, hizi nazo onyesha hapa sio za bei kubwa saaana(laki moja tu), which is ticket ya mabasi ya mikoani.. Ni kwamba tu muundo wake umejengewa vizuri na watu wanojua wanachofanya
Me navoona hayo majengo nadhani bei yake ni balaaa. Ntajitosa siku moja na kale kabinti

Distributed Denial-of-Service
 
Back
Top Bottom