Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,402
- 42,386
Sawa
Hilton Yaounde Kamerun
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hilton Yaounde Kamerun
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wakuu Naomba kupata uelewa, kwanini Majina ya Hotel kubwa kubwa na nzuri karbia zote Afrika yanafanana, mfano Marriot, Kempisk Hilton, Ramada nk nk the same same name utakuta Tanzania, Kenya, Mali, SA nk tufungueni macho. Lkn ntajuaje kuwa hii ni Hotel ya Nyota 5 au 3 pasipo kuuliza yaani kwa kuangalia sifa zake tu.
Ahsante
Nilifika hapa
I once slept here chumbani nikaweka Jim Reeves
Fanyani kazi[emoji23][emoji23][emoji23]halleluyah.muombe Mungu ufike
nani kakwambia tumekaa tu??Fanyani kazi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kitakuwa kiswahili cha Congo hiki bossHoteli za nzuri sana hizi...