Miundo ya hoteli Duniani

Katika picha picha zote naona tu wahudumu wakiume wakiume,vidada naviona reception tu

ila huku kwetu wahudumu vidada kila angle shida sjui nini,ila mi 5 stars hotel naona midume tu imetawala.
 

Wapo watu wanaishi hivyo, wanalala mahotelini miezi 12
Usijisikie hivyo boss, mwisho ya siku ni haya ni majengo tu, yanajengwa na kuuzwa kila siku. Na isitoshe hao wanaokula mahotelini wanakula kuku kama mimi na wewe
 
Katika picha picha zote naona tu wahudumu wakiume wakiume,vidada naviona reception tu

ila huku kwetu wahudumu vidada kila angle shida sjui nini,ila mi 5 stars hotel naona midume tu imetawala.

mmh. inaelekea kwamba kwenye majengo makubwa yenye floor nyingi wanaume wanaaminika zaidi kutoa huduma au management inayopaswa
 
Walahi wabilahi kuna watu wanaishi me nasindikiza (nakazia mimi maana sjui hali za wenzangu humu ndani) sidhani kama nitakaa niingie hizo place until judgement day.

Distributed Denial-of-Service
mbona sio bei..unapanga tu mwisho wa mwaka unaenda vacation
 
Wakuu Naomba kupata uelewa, kwanini Majina ya Hotel kubwa kubwa na nzuri karbia zote Afrika yanafanana, mfano Marriot, Kempisk Hilton, Ramada nk nk the same same name utakuta Tanzania, Kenya, Mali, SA nk tufungueni macho. Lkn ntajuaje kuwa hii ni Hotel ya Nyota 5 au 3 pasipo kuuliza yaani kwa kuangalia sifa zake tu.
Ahsante
 
Hadi sasa nimeshapata 10%, bado 90%!! Nikishindwa kabisa, nitabadili hata preference na ku-target vyumba vya chini! Ni Marina Bay Sands Hotel (Singapore) chini ambavyo ni cheaper!

Rooftop Infinity Pool!



 
Ngosha boy safari class, Ngosha unga, Ngosha hotel

Beira mall

Soon as possible

In the name of Jesus

By Lucky of Ave Maria

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni franchise business ndio maana unaona majina yanafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…