Kuna mtu mmoja alinijuza kuwa ukichukua kokwa ya parachichi ukaiparaza na kuianika bila kupigwa na jua halafu ukaisaga kwa blender. Unga wake unaweka kijiko cha chai kwenye chakula yaani mboga, chai, uji, supu unarejesha nguvu ya mkwaruzo kwa haraka sana.
Waliotumia mkongo na kuwa waraibu waane kujirejeza maana hali halisi watapoteza hata uwezo wa kupenga kamasi