Miujiza katika jina la Yesu, je ni nguvu za Mungu?

NUHWAHI

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
304
464
Ni kweli palikuwa na manabii watenda MIUJIZA kabla ya Yesu na hata baada ya YESU. Lakini mara baada ya kifo Cha mtume yohana, hizi habari zilikoma.... Na sasa kitambulisho kikubwa na pekee Cha wakristo wa kweli ni upendo..

JE MIUJIZA YAWEZA TOKA CHANZO TOFAUTI NA MUNGU?

Jibu ni ndio. Hata shetani kupitia mawakala wake hufanya ishara na mambo ya ajabu. Sio kwa NGUVU za Muumba.

MIUJIZA yenye kusisimua Leo ,JE hutendwa na Mungu?

Jibu ni hapana.Sababu zifuatazo

1. Kiwango Cha mafanikio cha
Wagonjwa. KUNDI LA wagonjwa 600 huenda wakapona 24 kwa muda Fulani. Na homa zikawarudia tena...REFER babu wa loliondo

2. AINA CHACHE za magonjwa huponywa.
NGUVU za Mungu Zitamponya yeyote na homa yoyote..

3.Mahusiano ya manabii wa Leo.
Hawapatani, hawapendani.. nabii A hapendi mafanikio ya nabii B . JE Mungu mwenye kuhitaji amani,umoja,upendo, ndiye anayewapa hawa roho yake takatifu?

4.Kutoweza kabisa kumponya kiwete,kiziwi au mlemavu yeyote wa toka kuzaliwa..

5.Watenda MIUJIZA wa kabla ya Yesu walifufua wafu, mfano Eliya,..Yesu Alifufua.. Na wale mitume 12 Walifufua pia..Je wetu wa Leo wanafufua? Au ni kutoa mapepo tu?!!!!

6. Malipo. Watu hutozwa pesa watendewe MIUJIZA.. refer supachaja wa huku kwetu bombihii nyumbihii (hahahahaaahaaa)

KWA HIYO. JE MUNGU huponya watu kwa MIUJIZA Leo? .. nitajibu tena wakati ujao
 
Era ya miujiza na manabii ilishaisha, Tupo era ya Imani na kuamini. Sasa kama unatafuta miujiza jiandae kukutana na waganga wanaojiita Wachungaji
 
Yashua mwenyewe akirudi ukamwita YESU/JESUS
hawezi kuitika kwasababu majina hayo si yake na hayatambui
 
Na sasa yeyeto aliyejasiri.. Anaweza anzisha kanisa la MIUJIZA... Ni fursa
 
Ndio, jina la Yesu Kristu lina nguvu sana, linaweza kutumiwa hata na mwenye dhambi kutenda miujiza, lakini siku ya mwisho nao wataangamizwa.

Mathayo 16:22.

" Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?

Mathayo 16:23.

" Ndipo nitawaambia dhahiri, sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu".
 
Ndiyo miujza ipo na nimeona mengi. Ajabu unakubali waganga na wachawi wanatenda ila hamkubali MUNGU ANATENDA YESU ALISEMA TUTAFANYE MENGI KULIKO ALIYOFANYA TUKIWA NA IMAN HATA TUKIAMURU MLIMU UNG`OKE UKAJTOSE BAHARIN UTATII. Swala mitume na manabii hao wpo kwa mujbu wa biblia wapo hata leo kama n fake hata wachungaji fake wapo kbao. Lengo la thread yako n kushambulia huduma za watu lete maandko kwmb kwasasa MUNGU HATENDI MIUJZA TENA SI POROJO TU
 
Unanihakikishia Leo Anaweza tokea mchungaji,, na aingie pale mhimbili na aponye wote... Au awe uwanja wa taifa tumletee wagonjwa 500 toka mahospitali na akaponya wot?!?
 
Unanihakikishia Leo Anaweza tokea mchungaji,, na aingie pale mhimbili na aponye wote... Au awe uwanja wa taifa tumletee wagonjwa 500 toka mahospitali na akaponya wot?!?
Yan uende muhimbili uponye wagonjwa ambao hawaamin kama Mungu Anaweza kuwaponya hv we una akili timamu kweli? Ujaze watu uwanja wa taifa eti waponywe wkt hawaamin Mungu Anaweza? Tatzo vjana wa kzaz hiki mnaleta ujuaji mpk kwny mambo ya imani au ulimwengu wa roho yasiyohtaji ujuaji, kwa thread yako hii nimegundua husomi biblia au unaleta udini au wivu au huamin ktk Mungu bs.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom