Inategemea kuanzia 550.000 mpaka 800.000 pia inategemea wapi zimetoka Na ubora. Kwa watoto nguo zao mchanganyiko kuanzia 700.000 mpaka 850.000.ila Kwa viatu sina hakika .hizo bei Kwa maduka ya Ilala
Happy new year pale Ilala sokoni utapata .mimi uwa Na chukua sana ila siuuzi Dar napekeka mkoani kila week nakuja kuchukua .biashara ni nzuri tu pale utakapofanya mwenyewe.siyo kuagiza mtu .
Happy new year pale Ilala sokoni utapata .mimi uwa Na chukua sana ila siuuzi Dar napekeka mkoani kila week nakuja kuchukua .biashara ni nzuri tu pale utakapofanya mwenyewe.siyo kuagiza mtu .
Moja moja kwa mkoani hailipi hiyo inalipa Dar .kwa kuwa mambo ya hali ya hewa nayo ni change motor moja wapo .Dar zinaisha sana cotton lakini iringa ama mbeya huwezi uza nguo za aina hiyo