Mitt Romney says he would deport Obama's uncle!

nasikia utaaaaaaaaaaaaaaaaaamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
look at the way manyang'au wanam-let down Obama kisa tu his father came from Kenya! I can see Obama's downfall might be highly attributed by negative publicity he gets from his nyangau kins!
don't evict anybody. Obama have failed Americans, so if he get sacked by them it is fair. He himself is to blame!
 
Illuminate wamemuweka Obama as president! Obama lazima amalize second term! Ni vigumu sana kwa akili zako za kibongo kujua inside za siasa za Marekani. They are planning for more than 500yrs.
Mlitegemea Obama hatapigana vita kama Bush, lkn siku ya mwisho akamchomeka vijiti mungu wenu wa afrika!
Hachana na USA!
Sisi tuendelee kujadila siasa zetu za TZ na EAC TU!
 
Tanzania nako kuna siasa gani za kujadili zaidi ya kuongezeana ujinga?
Kuhusu Obama na Bush kuchomwa moto, hebu tuambie BASHAR AL ASAD nae moto wake kwa Mungu utakuwaje kwa jinsi anavyowaua watu hivi sasa kule Syria?
Janjaweed na Alshaabab nao moto wao utakuwaje?
 
umetumia akili zipi sasa kuelewa haya uliyyoyamwaga hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…