Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Kesi ya shangazi ilimalizika kwa kupewa legal residency. Katika hili la mjomba wake Romney amekurupuka. Nakubaliana na Kiranga.Hivi huyu Obama ana ndugu wangapi Marekani ambao ni illegal?
Nakumbuka kuna shangazi yake mmoja pia alikuwa na kesi. Sasa sijui imeishia wapi.
Kesi ya shangazi ilimalizika kwa kupewa legal residency. Katika hili la mjomba wake Romney amekurupuka. Nakubaliana na Kiranga.
Na ndiyo sababu hafai kuwa rais wa USA. Nimemaliza.
Sikutegemea useme kivingine.
Na umesema almost verbatim na nilivyokuwa natarajia.
Romney is way better kulinganisha na wengine ndani ya republican....
hana tofauti saana na Obama.....kwa maoni yangu....
Hana tofauti na Obama kivipi?Romney is way better kulinganisha na wengine ndani ya republican....
hana tofauti saana na Obama.....kwa maoni yangu....
Romney is way better kulinganisha na wengine ndani ya republican....
hana tofauti saana na Obama.....kwa maoni yangu....
Boss tafadhali naomba ufafanuzi wanavyofanana na Onyango Obama.
I would do the same thing too.
what? Be deported!
Romney is way better kulinganisha na wengine ndani ya republican....
hana tofauti saana na Obama.....kwa maoni yangu....
You wanna bet? I am putting a $100 if Romney wins in a landslide.And he is going to beat Obama in a landslide.