Mitt Romney kachoka ile mbaya...ogopa jaluo wewe!!!

Mitt Romney kachoka ile mbaya...ogopa jaluo wewe!!!

ahahahahahahahahahahaa.........kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi........hihihihihihihihihii......
 
Romney is worth 200 million .4 years from now atakuwa 300 million .obama nyumba yake loan ya 500,000 na analipa mortgage mpaka Leo na 2016 atakapotoka white house utapanda nae ndege moja .obama is no 40 poorest president in USA.hana hata investment .Romney Ana ndege yake .Obama ndio umfikirie hiyo depression ya 2016 no private jet ,Obama anashindwa kiwalisha ndugu Zake ?mna muona wa maana sana,zituni shangazi wa Obama anakaa shelter home .

Kumbe una mawazo hafifu kweli kweli, na inaonyesha kuwa wewe huko Marekani ulikoolewa hupajui vizuri Nikuulize maswali manne tu:
  1. Unathamini pesa au unathamini heshima? Romney alikuwa na pesa unazodhani ni nyini sana, lakini kwa nini alihangaika miaka sita yote akituafua uraisi ambao una heshima nyingi. Wakati wa kampeini kabla ya kuwa rais alikuwa analindwa kwa kodi yetu, lakini baada ya kula mzinga jamaa wakamuacha na sasa hata akifika mtaani kwako hujui kama alipita.
  2. Je wewe unadhani inachukua muda gani mtu kupata dola millioni mia tatu? Unajiaminishaje kuwa Obama mwenye miaka 50+ tu hawezi kupata pesa zaidi ya dola millioni mia tatu katika kipindi cha miaka kumi ijayo? Unajua kuwa Raisi Clinton aliondoka madarakani na madeni makubwa sana yaliyotokana na kesi ya Monica lakini leo hii ni kati ya mamilionea wakubwa wa marekani?
  3. Unadhani ndege ni nini? Mimi naona kama hayo ni matokeo ya mawazo hafifu yanayotokana na mazingira ya umaskini tuyolikulia ya kudhani kuwa mwenye gari basi ni tajiri sana, na leo hii wewe uliyeko marekani ambako karibu kila mtu ana gari basi wewe unakurupukia kudhani kuwa mwenye ndege ndiye zaidi. Jirani yangu ana ndege sita anazotumia kutolea flight lessons kwenye biashara yake, lakini neighborhood yetu haina millionea hata mmoja!
  4. Je unaamini kuwa kila mwenye mortgage ni maskini? Sina imani kuwa una elimu yoyote kuhusu time value of money? Kama Obama ana karibu dola milioni kumi ukiachilia mbali anazogawa kwa wenye shida, unadhani kwa nini ana mortgage hiyo uliyosema. Je huoni kuwa angeweza kabisa kutumia hata pesa alizopewa za Nobel Prize kulipa hiyo mortgage yote, lakini for some reasons anaweza kuwa anaoanisha pesa yake na time. Hilo linaweza kuwa jambo kubwa kujadili lakini kama mtu unayeishia katika nchi ambayo financing ni biashara kuba usingetumia mortgage kueleza ufanisi wa mtu kwani hata Donald Trump ana madeni mengi sana yanayotokana mortgages mbalimbali katika biashara zake.
 
obama anapiga kazi jamani,,nenda obama,romney kwisha habari yake
 
eh sikujuaga hata millionaires wanaweka mafuta wenyewe kwenye gari....
 
Natalia, kama jina lako lilivyo, nakusikitikia. Jali utu si pesa. Fedha za Romney zinakusaidia nini wakati hali yako ndo hiyo umeipost ukisingizia ni ya Obama? Kaa chini fikiria kutengeneza millions zako. Wacha maneno wewe!!!!
 
Back
Top Bottom