Kitomai JF-Expert Member May 21, 2009 1,061 281 Dec 1, 2009 #1 Mitsubishi Pajero io a.k.a GDI For Sale 1999 year of manufacture, petrol, 1830cc, 4G9 Low mileage, Automatic, Price 9.5mil 0717114409 Attachments MITSUBISHI PAJERO 1.jpg 31.8 KB · Views: 261 P 2.jpg 30.5 KB · Views: 256 P 3.jpg 27.5 KB · Views: 216 P 4.jpg 32.6 KB · Views: 264
Mitsubishi Pajero io a.k.a GDI For Sale 1999 year of manufacture, petrol, 1830cc, 4G9 Low mileage, Automatic, Price 9.5mil 0717114409
C CharlesNuru Member Jul 2, 2008 9 0 Feb 16, 2010 #2 Do you mean that hiyo inayoonekana hapo kwenye picha ndo inauzwa?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,871 155,841 Feb 16, 2010 #4 Je ina tatizo lolote la kimakenika au umeme?
Kituko JF-Expert Member Jan 12, 2009 9,555 9,330 Feb 16, 2010 #5 Bujibuji said: Je ina tatizo lolote la kimakenika au umeme? Click to expand... hayo magari yanakuwaga na matatizo makubwa sana ya umeme(sensor) nadhani na hili litakuwa vivyo hivyo
Bujibuji said: Je ina tatizo lolote la kimakenika au umeme? Click to expand... hayo magari yanakuwaga na matatizo makubwa sana ya umeme(sensor) nadhani na hili litakuwa vivyo hivyo
Original Pastor JF-Expert Member Nov 14, 2007 1,274 50 Feb 16, 2010 #6 Mzee hii gari mma sasa lazima watu wawe na wasiwasi weka jamvini kwanini unauza? mimi ninazo 4M keshi sema
Mzee hii gari mma sasa lazima watu wawe na wasiwasi weka jamvini kwanini unauza? mimi ninazo 4M keshi sema