Mitsubishi Pajero hiyo, tupeane uzoefu

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,096
22,627
Habari zenu wadau.

Nimekuja hapa tupeane ushauri na experience za kweli na sio mawazo ya ramli juu ya hii gari.

Mimi binafsi nimeipenda na natamani kufanya mchakato wa kuiagiza nipate yangu. Hii gari nimevutiwa nayo baada ya kuendesha ya mtu ambaye sina mazoea nae sana so sikuweza mdadisi hadi kipindi hiki nilipo kuwa na interest nayo hii gari. Ina nguvu na ni ndogo kwa size but ni kubwa kwa gari ndogo.

So naomba tujaziane ujuzi.


IMG-20190325-WA0044.jpeg
IMG-20190325-WA0045.jpeg
IMG-20190325-WA0049.jpeg
IMG-20190325-WA0021.jpeg
IMG-20190325-WA0022.jpeg
IMG-20190325-WA0046.jpeg
 
Sitaki kuamini hadi leo hakuna mshauri hata m'moja wanafiki wakubwa ninyi mnakuja kuchungulia hamtii neno lolote niwaeleweje?!
 
Brother ukisikia umeoa mwenye mimba na sio muhusika wewe ndo hiyo gari.
Utalea watoto wa mafundi
Week kazini, weekend gereji.
 
Hizi gari sijawahi kukutana nayo ikiwa mpya.....zote zinakua zishachoka.......
 
Tatizo lake kubwa injini toa injini iyo tafuta injini ya noah utaifurahia mno mana boad yake ni ngumu mno ila injini jau...
 
Ukiona gari ni nzuri lakini sio nyingi mjini na bei yake ni cheep, J.I.O.N.G.E.ZE tu, kwa nchi yetu gari ndogo na uhakika chukua TOYOTA tu, hao akina MITSUBISHI ni wazuri kwenye magari makubwa tu.....
Zipo nyingi, ingawa sio sana ila nakutana nazo sana tu. Plus bei yake imesimama pia
 
Back
Top Bottom