Mitsubishi Outlander ndo habari ya Mjini

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,679
8,423
Wale wenzangu wenye hela za.mawazo kutokana na ngazi za juu kubana na bado unataka SHOW OFF ya SUV kimbilio ni Mitsubishi Outlander kwa 500 USD unaagiza gari toka Japan.
Fuel consumption: 1ltr = 17kms
vipuri vipo vya kutosha.
 
Fafanua kidogo uzuri wa hilo gari, kwenye ulaji wa mafuta, upatikanaji wa vipuli, uimara wake kwa ujumla pamoja na mengine mengi yanayohusu gari hilo.
 
Mitsubishi outlander sio gari ya kutania. Bei yake japan inaanzia dola 5000 hapo hujasafirisha. TRA zaidi ya dola 7000.
Ni gari mpya hizi zimeanza kutolewa japan 2005, sidhani kama tz vipuli zake zitakuwa zimeingia. Hapa dar nimeziona kama 3 hivi ni chache sana.
Mafuta ni kweli inakula vizuri na gari ya familia 7 seater
 
Wale wenzangu wenye hela za.mawazo kutokana na ngazi za juu kubana na bado unataka SHOW OFF ya SUV kimbilio ni Mitsubishi Outlander kwa 500 USD unaagiza gari toka Japan.
Fuel consumption: 1ltr = 17kms
vipuri vipo vya kutosha.
Mpaka inafika bongo inakula ngap
 
Zipo km harier Kwa ndani inabidi uwe na si chini ya milioni 25 ili uimiliki
 
02b3c6b1c74585cff0863827fb16234d.jpg
 
naipenda sana hii gari ntafurahi wazoefu wakichangia maoni zaidi kabla sijafanya maamuzi
 
Back
Top Bottom