Mitsubishi outlander budget 28m ya seat 7

Mitsubishi outlander budget 28m ya seat 7

Nataka kununua Mitsubishi outlander wadau naulizia fuel consuption yake lita1 inakwenda km Ngapi ..navip outlander kuanzia ya mwaka upi nichuke na yenye specification zipi ndio Bora zaid
Picha yake
 
Mtu yeyote anayeulizia sifa za gari huku akitilia mkazo ulaji wa mafuta, mwambie level yake ni IST, VITZ, PREMIO na zingine kama hizo. Ukitaka kununua SUV swala la ulaji wa mafuta weka pembeni.
Gari nzuri lazima inywe mafuta ya kutosha.
 
Gari nzuri lazima inywe mafuta ya kutosha.
Hizi ni akili za mwaka 47.

Kuna Mitsubishi outlander PHEV, unakuta gari inatembea kilometa 30+ kwa litakuna moja nimeona ina wastani wa lita moja km 50, ukichanganya na matumizi ya umeme.

Ujio wa hybrid umebadili vingi, wenzetu wapo kwenye umeme ndio kabisa.
Ni vile tu huku bongo tupo matakoni mwa dunia.
 
Back
Top Bottom