Mitsubish Pajero

king of the North

Senior Member
Jul 26, 2016
102
55
Habari wakuu.Naomba Msaada wa kujua bei Ya Engine Used Ya mitsubish Pajero
pic_mitsubishi_pajero_5650.jpg
 
Habari wakuu.Naomba Msaada wa kujua bei Ya Engine Used Ya mitsubish PajeroView attachment 523141

Hii inatumia engine inaitwa: 4D56 Yenye intercoolar, waweza ipata kwa 2m to 2.5m nafikiri, Ila angalia ni aina gani ya engine kwanza, yaweza kuwa ni 4M40 pia ambayo bei yake ni kama 3m. Kuba bwana pale ilala anaitwa Kijuju aisee ni Muislam safi anauza engine, jaribu kuwasiliana naye kabla hujanunua hii gari atakusaidi, mimi alinisaidia sana, akaniuzia engine kwa bei nzuri sana na akanifungia Ni PM ukitaka namba yake!
 
Mkuu bei zinatofautiana sana kati ya gari moja na nyingine.Nikushauri upitie mtaa wa lindi Kariakoo,hukosi engine ya gari yako.Nimenunua engine pale ya Pajero jr wiki kadha pale kwa bei ndogo sana.Fahamu engine namba kama gari haiwezi kufika pale
 
Aisee naomba nipm hiyo namba ya seller
Hii inatumia engine inaitwa: 4D56 Yenye intercoolar, waweza ipata kwa 2m to 2.5m nafikiri, Ila angalia ni aina gani ya engine kwanza, yaweza kuwa ni 4M40 pia ambayo bei yake ni kama 3m. Kuba bwana pale ilala anaitwa Kijuju aisee ni Muislam safi anauza engine, jaribu kuwasiliana naye kabla hujanunua hii gari atakusaidi, mimi alinisaidia sana, akaniuzia engine kwa bei nzuri sana na akanifungia Ni PM ukitaka namba yake!
 
Hii inatumia engine inaitwa: 4D56 Yenye intercoolar, waweza ipata kwa 2m to 2.5m nafikiri, Ila angalia ni aina gani ya engine kwanza, yaweza kuwa ni 4M40 pia ambayo bei yake ni kama 3m. Kuba bwana pale ilala anaitwa Kijuju aisee ni Muislam safi anauza engine, jaribu kuwasiliana naye kabla hujanunua hii gari atakusaidi, mimi alinisaidia sana, akaniuzia engine kwa bei nzuri sana na akanifungia Ni PM ukitaka namba yake!
Mkuu naomba nipm namba ya Kijuju si engine zake ziko poa? maana nami nina toyota runx nataka nibadilishe engine
 
Weka engine ya Toyota hilux au ya hiace diesel.

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
4M40 is the best engine kwa Mitshubishi, kwa nini aweke ya ku foji wakati engine yake ipo mkuu na ni engine safi, 4 cylinders, diesel, about 2800cc au 2400cc kwa 4D56, zinakuja na turbo baadhi yake, ila kuna ambazo hazina turbo?
 
Uko sahihi....lakini engine za mitsubishi zina complications nyingi saana na ni very sensitive kama umeme ukisumbua.

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi....lakini engine za mitsubishi zina complications nyingi saana na ni very sensitive kama umeme ukisumbua.

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app

Kwa montero ya kuanzia 2008 nakubali, ila nilikuwa na Montero ya 2004 ... gearbox kidogo ilisumbua umeme ila ikawa sawa, ila ukithubutu weka engine ya toyota kwenye Mitsubishi labda uweke manual, automatic it will not be reliable, itasumbua ... umeme wa gearbox na control box yaweza kuwa changamoto. Hii mitsubishi ni ya 1995 nafikiri, umeme ulikuwa wa kawaida sana!
 
Namimi na tafuta engine used kutoka nje iwe complete na makolokolo yake yote iwe ya kutoka nje sitaki use in TZ
98bb68d61c00847c11875869ba9d634d.jpg
 
Back
Top Bottom