Mitoto mingine kwakutopenda shule bwana

Mitoto mingine kwakutopenda shule bwana

Deo bony

Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
74
Reaction score
8
MITOTO MINGINE KWAKUTOPENDA SHULE BWANA
Baada ya mwizi kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vingi wakati akijiandaa kuondoka ghafla anadakwa mguu na dogo..
Dogo akamwambia mwizi usipochukua na begi langu la shule NAPIGA KELELE!
mwizi akaduwaaa.
 
Back
Top Bottom