Mitindo ya Uandishi wa Tarehe Duniani

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Ni vyema kutambua kwamba kila nchi ina mitindo yake ya uandishi na hutashangaa kuona hata hati za watu wa mataifa fulani zikiwa zinafanana......na wakati mwingine hata namna ya uandishi wa barua ama taarifa mbalimbali una mtiririko unaolandana

Ramani ya Hapa chini itakusaidia kujua nchi ambazo kwenye kuandika tarehe huanza na Tarehe (D) Mwezi (M) Mwaka (Year) na hii ikusaidie mtiririko kulingana na nchi

Mfumo wetu wa kuchanganya unatokana na mtindo Uingereza/Ukoloni huku Mfumo wa Marekani Ukiwa ni MDY ni nchi chache tu za Korea Japan Uchina Canada Ujerumani etc Huanza na YMD huku zingine zikitumia mchanyako

dateformat.png
 
Back
Top Bottom