Nionavyo mimi inategema hicho kitenge umekishonaje kiofisi, kikanisa, kimsikiti, au kipati na je unayekivaa ukoje kwanza mwonekano wako usije vaa kama uko home wasonga ugali eti waenda nacho ofisini si ushamba jaamani huo
unaweza kushona kiiofisi na ukakivaa, wengine watapenda kwani huo ndo utamaduni wetu na ni vyema kupenda utamaduni wa kwenu haya mambo ya kuvaa bikini kazini ni ushamba tu