Mitihani ya secondari za kata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitihani ya secondari za kata

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Erasto..sichila, Apr 9, 2012.

 1. E

  Erasto..sichila Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli ulio wazi shule hizi hazina waalimu na maabara sasa ili kupima uelewa wao kwenye mitihani ya mwisho f4 napendekeza wawe wanatungiwa mitihani yao ambayo iwe tofauti na shule za mission au zile kubwa shule hizi hazina waalimu na vifaa vya kufundishia sasa baraza la mitihani kutahini vijana hawa wote sawa ni kukosa uelewa wa hawa wataalamu yaani nini maana ya kumutahini mtu au kumupa enterview vigezo viwe amejifunzia mazingira yepi na alikosa nini mfano ninyi munajua hana waalimu na maabara vipi mtihani uwe ni sawa na wale wenye waalimu walioenea na maabara kubwa kama shida ni sera ya elimu we waziri wa elimu badilisha jenga hoja bungeni naamini swala hili litapita labda swala ni je hawatakuwa wote A -level bado munaweza kutenga shule hizo kwa wanafunzi hao tu ili wafundishwe vizuri ili kufikia lengo la wenzao hapo tutakuwa tumetengeneza usawa katika elimu kwa lengo la kusaidia watoto wenye mazingira magumu ya kielimu vinginevyo bila kuthubutu hivi hakuna elimu miaka nenda rudi itakuwa usanii wa elimu tu na wanasiasa kuongea eti jimboni kwangu nimehamasisha ujenzi wa shule nyingi huku anajua ni unafiki tu kwani hana uchungu na hao vijana bali kujijenga kisiasa akiwa anajua anaogelea kwenye ujinga wa watu wengi anao jua hawajui kitu inasikitisha toeni mawazo wa tanzania tuokoekizazi hiki vinginevyo watakuja kuchapa viboko makaburi yetu tukijidanganya siye kobe hatuoni matatizo haya hii nchi hakuna mwenyenayo wote sisi yetu ahsanteni
   
Loading...