Mitihani ya kuoa mabinti wa 2000

Mwanangu Josephine ana twelve yrs na yuko drs la sita anatoa kitu cha umhakika kuliko hao wa 80s. Mapishi ni either kipaji, kujifunza au uzoefu pia
 
Nachojua wanawake hawajui Kupika Ila wanajipikilisha ukitaka kuenjoy mapishi nenda sehemu mpishi ni mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…